Wednesday, February 15, 2012

AZAM YAIVURUMISHA VILLA SQUAD

Mchezaji wa Villa Squad, Haruna Shamte (kulia) akimkwatua mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda maba0 4-1. (Na Mpigapicha Maalumu).

No comments: