Monday, December 19, 2022

GHOROFA LAANGUKA NA KUUA WATANO, KUJERUHI TISA

Watu watano wamekufa na wengine tisa kujeruhiwa baada ya jengo la ghorofa mbili walilokuwa wakijenga kuanguka katika eneo la Marangu wilayani Moshi.

Wednesday, December 14, 2022

MWANDISHI TBC AFARIKI KWA AJALI YA BAISKELI MLIMA KILIMANJARO

Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Joachim Kapembe (45), amefariki dunia wakati akishuka katika Mlima Kilimanjaro na anatarajiwa kuzikwa mkoani Tanga kesho.