Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo amewasihi wananchi wa Jiji hilo pamoja na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wiki katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Sokoine.
Mulongo alisema kumbukumbu hiyo itafanyika nyumbani kwake Monduli Juusiku ya Jumamosi asubuhi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemomke wa Baba wa Taifa, Maria Nyerere, Mwanasiasa na mwanadiplomasia waKimataifa, Dk Salim Ahmed Salim, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa pamoja nawatu mbalimbali.
Alisema Rais Jakaya Kikwete naye atashiriki katika misa hiyo ya kumbukumbu ya miaka 30.Ibada maalumu itakaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kadinal Pengo akishirikiana na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya kidini.
Alisema baada ya misa kutakuwa na uwekaji mashada kwenye kaburi la Sokoine sanjari na shughuli za kimila na baada ya hapo wanafunzi wa vyuo vikuu vya Jijini hapa watafanya maonyesho ya kumbukumbu ya kifo hicho sanjari na kutoa elimu ya kilimo na tafiti.

No comments:
Post a Comment