Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zimeanza kuwasilisha bungeni maoni
yake, kuhusu mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba
mpya, huku wengi wakikataa muundo wa serikali tatu, kwa kusema utaibua
hisia za ubaguzi kwa wananchi wa taifa moja.
No comments:
Post a Comment