Saturday, April 12, 2014

KAMATI SITA BUNGE LA KATIBA ZASHINDWA KUWASILISHA TAARIFA ZAO

Kamati sita kati ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimeshindwa kuwasilisha taarifa zao kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu tayari kwa ajili ya kuwasilishwa bungeni leo.

No comments: