MWAMBA WA NYANDA ZA JUU KUSINI AENDELEA KUTIKISA BARABARANI...

Mabasi ya kampuni ya JM Luxury Coach yanaendelea kujizolea umaarufu na kuaminika miongoni mwa wasafiri wa Nyanda za Juu Kusini (Iringa na Mbeya) kwa huduma safi na mwendo mzuri unaozingatia hseria zote za usalama barabarani. Madereva wetu ni wenye uzoefu wa hali ya juu katika kuhudumia magari yabebayo abiria hususani mabasi. Nauli zetu ni zile ambazo mwananchi wa kawaida anaweza kuzimudu bila matatizo. Safiri sasa na JM Luxury Coach kila siku kwa safari za DAR - IRINGA na DAR - MBEYA.
"SAFIRI KWA RAHA BILA KARAHA NA JM LUXURY COACH"

No comments: