SALAMU ZA HERI NA FANAKA ZA MWAKA MPYA 2014...

Tunawatakia wasomaji wetu na Watanzania wote kwa ujumla Heri na Fanaka za Mwaka Mpya 2014. Tunatumia fursa hii kuwashukuruni wote kwa kutuunga mkono kwa kipindi chote cha mwaka 2013 pamoja na michango na maoni yenu kuhusu jinsi ya kuboresha na kuijenga blogu hii. Tunasema asanteni sana na Mungu awabariki.
Tunaahidi kuboresha blogu yetu pamoja na kuwataka wasomaji wetu kote duniani kukaa tayari kwa mabadiliko makubwa ya muonekano na taarifa zaidi ndani ya blogu yenu pendwa "www.ziro99.blogspot.com" -MHARIRI

No comments: