Jamaa mmoja alikuwa amekaa na demu wake. Mara demu akakatisha maongezi: Nina njaa dear nataka ukaniletee msosi. Jamaa: Poa acha niende. Nikuletee nini? Demu: Niletee chipsi kuku na mayai manne yakaangwe pembeni, baga, pizza ya samaki waweke mayonaizi, soda baridi ya take away, mkate wa moto kwenye ile bekari ya Wapemba na maji ya kunywa. Jamaa: Umesahau viti, meza, leseni, masufuria, sahani na vijiko. Demu: Vya nini mpenzi? Jamaa: Naona hutaki kula ila unataka kufungua mgahawa! Duh...

No comments:
Post a Comment