Tuesday, November 19, 2013

CHEKA TARATIBU...

Nesi mmoja aliachiwa maagizo na ndugu wa mgonjwa kwamba ikifika Saa 8, ampatie mgonjwa chakula. Kabla ya muda huo, yule nesi akala yeye kile chakula.
Ilipofika Saa 8 kasorobo, ndugu wa mgonjwa akampigia simu yule nesi na kusema: "Ikifika muda wa kula umlazimishe ale chote, humo kuna sumu. Tumekubaliana wanafamilia kwamba afe, hatuna fedha za kumpeleka nchini India kwa matibabu! Duh, kasheshe...

No comments: