Jamaa kawapa ofa washikaji zake kwenda kunywa kwenye baa moja maeneo ya Kijitonyama. Baada ya masaa kadhaa, akaletewa bili iliyosomeka hivi; Manka 20,000/-, Pantaleo 30,000/-, Happy 25,000/-, Kiwosso 20,000/-. Total 95,000/-. Jamaa baada ya kuisoma akamjibu mhudumu: "Wote hawa nitawalipia, lakini huyu TOTAL simlipii maana ni tajiri sana na anamiliki vituo kibao vya mafuta hapa mjini! Duh...

No comments:
Post a Comment