Mbwa mmoja anasubiria kuuawa mjini Tennessee baada ya mmiliki wake kumtelekeza sababu alikuwa akidhani alikuwa shoga.
Mbwa huyo aina ya pitt-bull kwa sasa anadhoofika kwenye makazi yenye mrundikano wa wanyama huko Jackson lakini alikuwa akitarajiwa kuuawa isipokuwa tu kama atapatikana mmiliki mpya katika dakika ya mwisho.
Kwa mujibu wa mmiliki wa makazi hayo ya wanyama, mmiliki wa mbwa huyo alimgundua baada ua kumwona 'akimuinamia' mbwa mwingine wa dume, jambo ambalo likamfanya kumhisi alikuwa ni shoga.
Wakati mbwa wanafahamika mara kwa mara huwa na tabia ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, wataalamu wa wanyama wanasema mbwa dume kumpanda mbwa mwingine dume sio ishara ya kufanya mapenzi badala yake ni ishara ya utawala.
Hatima ya mbwa huyo imelipua cheche za upinzani miongoni mwa wapenda wanyama kumsaka mmiliki mpya kabla muda haujaisha.
Ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook umepambwa kwa meseji: "Usiachie mbwa huyu wa ajabu afe sababu mmiliki wake ni mbumbumbu wa tabia ya kawaida ya mbwa!
Wakati mbwa dume kumpanda mwenzake haichukuliwi kama ushahidi pekee wa mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja, wanabaiolojia wamerekodi vitendo vya mapenzi ya jinsia moja katika zaidi ya aina 450 ikiwamo korongo, aina ya nyati, kombamwiko na ngiri.
Utafiti wa mwaka 2010 wa Alaskan Albatrosses umegundua kwamba katika kila wanyama watatu kuna wawili majike.
Utafiti pia umeonesha takribani watano kati ya penguin wote madume waliofungiwa ni mashoga.
Wanaharakati wa haki za mashoga wamekuwa kimya kuhusu ushahidi wa mapenzi ya jinsia moja ya wanyama huku uthibitisho kwamba wapenzi wa jinsia moja ni matukio ya asili.
Katika kitabu chake, Biological Exuberance: Animal Homosexuality And Natural Diversity, Bruce Bagemihl amehoji dhidi ya 'upendeleo wa kufanya mapenzi kinyume', ambako watafiti wanadhania wanyama ni wafanyaji mapenzi kinyume.
Anadai tabia ya mapenzi ya jinsia moja imegundulika katika aina 1,500, na rekodi sahihi kabisa 500 kati ya hawa.
Mifano yake imetokana na viumbe kama twiga, vipepeo na nguva - mamalia mkubwa wa baharini, ambaye anajihusisha katika mapenzi ya jinsia moja ya kushangaza.
Katika aina nyingine, sababu haziko wazi sana. "Ndege hakika wanatatiza," anasema Bockman. "Kinachoendelea kwa ndege" akili ni hisia za kila mmoja."

No comments:
Post a Comment