Thursday, January 3, 2013

HII NDIO DAR ES SALAAM BWANA, MVUA KIDOGO TU......

Bahari ndogo kwenye barabara za lami katikati ya jiji la Dar es Salaam leo mchana. Hii ni baada ya mvua ya siku moja tu...
Kutokuwa na mifereji sahihi ya kupitishia maji tatizo linajitokeza mvua inaponyesha  sehemu nyingi za barabara za Jijini Dar es Salaam zinajaa kupelekea magari kupita kwa taabu kama hivi katika Mtaa wa Uhuru Kariakoo mchana wa leo. 
Hapa ni Kariakoo eneo la Kongo katika Barabara ya Uhuru leo mchana...


No comments: