Katika kuhakikisha kwamba tunaendelea kukupa vionjo zaidi mpendwa msomaji wetu, tunakuletea safu mpya ya "HAKIKA TUMETOKA MBALI..." ambapo utapata fursa ya kujionea hatua tuliyopiga (kwenda mbele au kurudi nyuma) na mwisho wa yote mwamuzi utabaki kuwa wewe. Kwa kuanzia tunakuletea picha hii ya mji wa Bukoba, mkoani Kagera kama ulivyokuwa mwaka 1972. |
No comments:
Post a Comment