HAKIKA TUMETOKA MBALI...

Enzi hizo hatukuwa na tatizo la usafiri wa kwenda mikoani kama ilivyo sasa kwani kulikuwa na mabasi ya Relwe kama inavyoonekana pichani moja ya mabasi hayo aina ya Leyland CD likiwa tayari kuanza safari katika miaka ya 1980.

No comments: