Saturday, December 8, 2012

CHEKA TARATIBU...

Baada ya chakula cha jioni wanandoa wakawa na maongezi. Mke akamwambia mumewe, "Mume wangu leo nataka nikupe mambo mapya matamu ili tuboreshe ndoa yetu" Mume kwa furaha akajibu, "Yani hicho ndio nilichokuwa nasubiri kusikia kutoka kwako miaka yote tuliyoishi pamoja." Mke akaendelea, "Kesho wewe utaosha vyombo na kupika wakati mimi nitakaa nikitazama tivii tu!" Kasheshe...

No comments: