CHEKA TARATIBU...

Baada ya ugomvi mkubwa, mama kakasirika na kuamua kumbwatukia mkwe wake, "Huyu mtoto uliyemzaa hafanani kabisa na mwanangu!" Yule binti bila kupoteza muda akajibu kwa ukali, "Mama nakuheshimu sana. Humu tumboni nimeumbwa na kizazi tu sina mashine ya fotokopi!" Balaa…

No comments: