Mume na mke wakiwa kwenye gari lao mara ukazuka mzozo mkubwa kati yao. Kwa hasira mume akamropokea mkewe, "Kwanza nyie wanawake wote ni mbwa tu!" Wakati wakiendelea na safari mke akaona mbwa kando ya barabara. Mke akavunja ukimya na kumwambia mumewe, "Umempita mama yako, simama tumpe lifti!" Duh, balaa...
No comments:
Post a Comment