Wednesday, December 12, 2012

CHEKA TARATIBU...

Mwalimu aliingia darasani na kuwataka wanafunzi wote wachore balbu. Baada ya dakika kadhaa akaanza kupita kwa kila mmoja kukagua ndipo akagundua mmoja akiwa kapakaza rangi nyeusi karatasi lote. Mwalimu akahoji kulikoni? Yule mwanafunzi akajibu, "Wakati naanza kuchora tu ghafla umeme ukakatika, hapa nangojea urudi!" Balaa...

No comments: