Baadhi ya wazazi waliopoteza watoto katika shambulio la bunduki ambapo watoto 20 walikufa mwishoni mwa wiki iliyopita, wakifuatilia mahubiri katika misa maalumu. |
Binti mdogo shujaa wa ajabu sana ni msaliaji pekee katika darasa lake la kwanza sababu alijifanya amekufa wakati rafiki zake waliuawa kumzunguka na mtu mwenye silaha Adam Lanza.
Stori hiyo ya binti ambaye hakutajwa jina iligunduliwa baada ya mama yake kuhudhuria mawaidha ya huzuni kwa Mchungaji wa eneo hilo, Jim Solomon.
Binti huyo ambaye hakutajwa jina mwenye miaak 6, alisubiri hadi alipoamini kwamba alikuwa kajificha salama miongoni mwa miili iliyotapakaa chini, kisha akatimua mbio kutoka kwenye jengo hilo akiwa ametapakaa damu kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo.
Alikuwa ni mwanafunzi wa kwanza kukimbia kutoka katika Shule ya Awali ya Sandy Hook.
Wanafunzi wenzake 15 wa darasa lake waliorodheshwa miongoni mwa waliopotea Ijumaa iliyopita.
Mwishowe alipomfikia mama yake, akamweleza: "Mama, niko salama, lakini rafiki zangu wote wamekufa."
Yote yaliyosemwa, Lanza aliwaua watoto 20 wakati alipofyatua risasi huku akielekea kwenye shule hiyo baada ya kuwa amemuua mama yake mzazi mapema asubuhi hiyo.
Solomon alipeleka simulizi ya binti huyo kwa televisheni ya ABC News.
"Nini alichokiona kule?" aliuliza Solomon. "Vema, alimuona mtu mmoja ambaye alidhani mwenye ghadhabu na mtu fulani ambaye alidhani alikuwa kichaa.
"Jinsi gani ukiwa na umri wa miaka 6 na nusu unavyoweza kuwa mjanja kiasi kile, shujaa vile? Nadhani haiwezekani nje ya kuingilia ubashiri. Ana busara zaidi ya miaka yake."
Solomon alisema familia ya binti huyo inafanya 'kila zuri unalotarajia wao kufanya' na wakati wakifarijika kuwa na binti yao nyumbani wanajisikia hatia fulani ya msaliaji sababu wengine wengi wa marafiki zao wamepoteza watoto.

No comments:
Post a Comment