![]() |
| KUSHOTO: Michael Gwyther. KULIA: Jengo la mahakama ilikotolewa hukumu ya Michael. |
Jamaa mpenda kufanya ngono na visichana vidogo ambaye alimchukua binti wa miaka 12 aliyemdhalilisha kwenye eneo la hatari ili akabakwe na wanaume wengine amefungwa maisha jela.
Michael Gwyther mwenye miaka 44 alimbaka kwa kurudiarudia msichana huyo na kumpeleka kufanya ngono kwenye eneo la wazi ambako alimkabidhi afanye mapenzi na wanaume wengine.
Mahakama Kuu ya Swindon ilielezwa kampeni ya udhalilishaji ya Michael ilibainika wazi pale wazazi wa wasichana wengine wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao alikuwa akiwashikilia kupatikana na kuwasiliana na polisi
Maofisa wa polisi walikuta picha za aibu na video chafu za binti huyo wa miaka 12 kwenye simu yake wakati walipomkamata nyumbani kwake huko Easterton, Wiltshire.
Claire Marlow, akiendesha mashitaka, aliieleza mahakama polisi walivumbua udhalilishaji huo wa kushitusha wa mtoto huyo wakati walipochunguza simu yake ya mkononi.
Alisema mama wa mmoja wa mabinti hao wakubwa alikuwa akiangalia kwenye kompyuta ya binti yake na kukuta meseji zisizokuwa za kawaida kutoka kwa Michael.
Alisema binti huyo wa miaka 14 alisema Michael alimpatia lifti hadi nyumbani kutoka klabu ya vijana mwezi Agosti mwaka jana na kumwekea mkono kwenye paja.
Msichana mwingine mwenye miaka 15, ambaye pia alipatiwa lifti na Michael alisema naye pia alisumbuliwa naye takribani muda kama huo.
Maofisa walipomchunguza binti huyo katika picha alikuwa ametishwa mno kuelezea udhalilishaji huo wa kutisha aliofanyiwa mikononi mwa Michael.
Hatimaye alieleza jinsi alivyokuwa akimbaka na kumdhalilisha tangu akiwa na miaka 12, na hata kufikia kumpeleka kwenye eneo hatari la The Barn, ambako wanaume wengine walikusanyika kwa ajili ya kufanya ngono.
Michael alimlazimisha binti huyo kufanya ngono na mwanaume huku akiwarekodi kwenye video, lakini video hiyo haikuweza kupatikana.
Marcus Davey, katika utetezi, alisema mteja wake alikuwa akijutia mno kwa hayo aliyotenda.
Jaji Douglas Field alitoa hukumu juzi Ijumaa kwamba Michael ameleta hatari kubwa katika uhalifu wake.
Alisema: "Umempotosha kwa kumwingiza ashiriki vitendo viovu vya ngono nawe, kuanzia alipokuwa na miaka 12 na kuishia naye akiwa na miaka 14 au 15.
"Wakati alipokuwa na miaka 12 ulikuwa pia tayari umeanza kumbaka. Ulimbaka katika matukio sita, mara mbili wakati akiwa chini ya miaka 13.
"Ulimpeleka kwenye maeneo yanayofahamika kama maeneo hatari ambako wenzako walikusanyika sehemu ya wazi kufanya naye ngono kila mmoja. Huko ulimchochea kufanya ngono na wanaume wasiojulikana.
"Ulifanya yote haya kukidhi maadili yako madhubuti; umekuwa na hamasa iliyokubuhu ya ngono kwa wasichana wa umri mdogo.
"Ukaanza kuwavuta waathirika wengine. Ulifanya mawasiliano kupitia mtandao wa intaneti.
"Hii ilikuwa kuwavuta hivyo kuweza kukutana nao kisha uweze kutenda makosa ya kujamiiana dhidi yao.
"Makosa yako yamewasababishia waathirika wako madhara makubwa mno kisaikolojia.
"Inaeleweka kabisa kusikia kwamba inakuwa vigumu kwao kumudu maisha yao ya kila siku na kwamba itaendelea kuwa hivyo kwa muda fulani."
Michael mkazi wa Haywards Place, Easterton, karibu na Devizes, huko Wiltshire, alipatikana na hatia katika makosa sita ya ubakaji, kusababisha au kumwingiza mtoto katika vitendo vya ngono, makosa matatu ya kufanya ngono na mtoto na matatu ya kupiga picha za aibu za mtoto.

No comments:
Post a Comment