![]() |
| KUSHOTO: OJ Simpson na mkewe, Nicole. KULIA: Glen Rogers anayedaiwa kumuua Nicole. |
Ushahidi mpya wa kimaandishi unadai kwamba mke wa zamani wa OJ Simpson, Nicole Brown alikuwa mlengwa wa muuaji anayefahamika na sio mumewe wa zamani ambaye pia ni mwanasoka nyota.
Glen Rogers, ambaye ametiwa hatiani kwa mauaji ya wanawake wawili mwaka 1995, anakabiliwa na adhabu ya kifo mjini Florida. Ameripotiwa kwamba amekiri kuwashambulia kwa kuwachoma visu Nicole na mpenzi wake Ron Goldman.
Hatahivyo baba wa Ron, Fred Goldman hakubaliani na 'kukiri huko' kwa sasa. Anaendelea kushikilia kwamba OJ Simpson alimuua mtoto wake.
Nadharia mpya, iliyoibuliwa na watengenezaji filamu kwa ajili ya uvumbuzi wa uchunguzi, unalenga tu mara ya pili mtuhumiwa mbadala anapojihusisha na mauaji hayo ya mwaka 1994.
Kesi hiyo ya milionea OJ Simpson iliyonguruma kwa miezi tisa, iliendeshwa na baadhi ya wanasheria wa utetezi maarufu kabisa katika taifa hilo, imeendelea kuwa kesi iliyosisimua zaidi mahakamani katika historia ya kizazi hiki cha Marekani.
Kumwondoa Simpson kwenye mashitaka ya mauaji bado inabaki kuwa suala lenye kugawa.
Ugunduzi katika uchunguzi, kabla ya kurushwa kipindi kwenye Chaneli ya Discovery, umeripoti kwamba Rogers alijigamba kwamba alifanya urafiki na Nicole muda mfupi baada ya kuhamia Los Angeles akitokea Ohio.
Anasemekana alijigamba kuhusu kusherehekea pamoja naye na, kuogofya zaidi, alionya kwamba Nicole alikuwa tajiri na 'anafanya mipango kumwangusha'.
Gazeti la New York Post limeripoti kwamba Rogers alikiri mashitaka hayo miaka kadhaa baada ya kuwa tayari amefungwa kwa mauaji ya wanawake wengine wawili, pia kuwapa polisi stakabadhi chache kama ushahidi kwamba alikuwa kwenye eneo la tukio wakati wa mauaji hayo mawili kwa pamoja Juni 1994.
Maandiko hayo yanaelezea kwamba sababu ya kwanini jina la Rogers halikuibuka kabla ni sababu Simpson alikuwa akifunika chini uhusiano wake na Rogers.
Rogers, ambaye wakati fulani aliwahi kutamba kuwa ameua zaidi ya wanawake 70 nchi nzima katika mlolongo wa uhalifu, anadai kwamba Simpson alimkodi kuvunja nyumba ya mkewe huyo wa zamani na kuiba seti ya hereni zenye thamani ya Dola za Marekani 20,000.
Pia anasema kwamba wakati dhamira halisi ya uhusiano ilikuwa kupata hereni, Simpson alimpa ruhusa Rogers ya kumuua 'malaya huyo' kama ikiwezekana.
Fred Goldman amekuwa akikampeni kumweka kijana wake Ron mwenye miaka 25, asisahaulike kama rafiki pekee wa Nicole Brown Simpson.
Hajatoa wazo lolote katika mapendekezo yake kwamba mtu mwingine zaidi mbali ya OJ huenda amehusika katika mauaji hayo.
"OJ Simpson alimuua Nicole Brown Simpson na Ron Goldman. Kesi hiyo ya jinai ilionesha kwamba OJ Simpson alikuwa ndiye muuaji. Hakukuwa na ushahidi mwingine wowote zaidi ya kukisia," alisema.
Goldman anasema anaamini uvumbuzi wa uchunguzi unashikilia madai ya kukiri kwa Rogers kuongezea pointi katika suala zima.
Maandiko hayo hayamtaji Rogers mwenyewe, ambaye anatumikia muda wake akisubiri kunyongwa mjini Florida, lakini inakuja karibu nyumbani kama inavyoegemea zaidi kwenye mahojiano na kaka yake Clay ambaye alikuwa mtu wa kuitaarifu polisi kutojulikana aliko Glen.
Glen anadaiwa kumweleza Clay kuhusu mauaji ya Nicole na Ron lakini hakuamini. Baadaye, Glen aliongea na mchunguzi wa makosa ya jinai na kuelezea hatua kwa hatua jinsi mauaji hayo yalivyotokea.
Rogers anashukiwa kwa muuaji ambaye alitumia ucheshi wake na muonekano wake mzuri kuchukulia wanawake kwenye baa.
Kwa sasa anasubiria adhabu yake ya kifo mjini Florida kwa mauaji ya mwaka 1995 ya Tina Marie Cribbs huko Tampa. Yeye na Tina waliripotiwa kufanya mapenzi kwenye hoteli moja baada ya kukutana kwenye baa. Kisha baadaye akamchoma visu mara kadhaa na kumtelekeza akitokwa damu hadi kufariki ndani ya bafu.
Baadaye alihusishwa na mauaji ya Sandra Gallagher, mama wa watoto watatu, mjini Los Angeles mwaka 1995, pia. Mwili wa mama huyo ulikutwa ndani ya gari lake lililokuwa likiteketea kwa moto.
Pia anatuhumiwa kwa vifo vya wanawake katika miji ya Mississippi na Louisiana.
Mamlaka za California zinashuku kwamba kuna mkono wake katika mauaji mengine kwenye jimbo hilo pia.
Wakati fulani, Rogers alitamba kuua watu 70, ingawa baadaye alisahihisha na kusema alikuwa akitania.
Ukweli wa mauaji hayo ya Nicole Brown Simpson na Ron Goldman umeingia giza, hauko wazi katika miaka 17 tangu kuachiliwa kwa OJ Simpson.
Hata hivyo, nyota huyo wa zamani wa kandanda na muigizaji ameendelea kushikilia msimamo hadharani kwamba hana hatia.
Licha ya kutopatikana na hatia katika mahakama za makosa ya jinai, familia za Nicole Brown Simpson na Ron Goldman zimemshitaki OJ kwenye mahakama za kiraia.
Vipande kadhaa vya ushahidi vilionesha kwamba ameenguliwa kutoka kwenye kesi ya jinai.
Jopo la mashitaka lilimwona Simpson anahusika kisheria kwa vifo visivyo vya haki vya waathirika wawili. Familia zao zilitunukiwa zaidi ya Dola za Marekani milioni 33 kwa madhara yaliyotokea.

1 comment:
Good day very cool web site!! Man .. Excellent .. Wonderful .
. I will bookmark your web site and take the feeds additionally?
I am satisfied to search out so many helpful info
here within the publish, we'd like work out extra techniques on this regard, thank you for sharing. . . . . .
Also visit my blog grumpy cat
Post a Comment