Jamaa alikuwa porini mara akatokea simba mbele yake. Kwa woga jamaa akapiga magoti na kuanza kusali huku kafumba macho. Ile kufumbua macho akamuona yule simba naye kafumba macho akisali. Jamaa kwa mshangao akauliza, "Ebo, kumbe na wewe Mkristo?" Simba akamjibu kwa ukali, "Funga domo lako. Kwani wewe huwa husali kabla ya kula?" Kasheshe...

No comments:
Post a Comment