Jamaa mmoja wa Kimasai kwa mara ya kwanza kavaa nguo za ndani wakati akisafiri kwenda Dar. Huku kichwani akikumbuka simulizi kwamba kuna vibaka wengi Dar, jamaa akawa makini mno. Siku moja katika matembezi akaingia kichakani kujisaidia na kwakuwa hakuzoea akasahau kuvua nguo ya ndani. Alipomaliza haja yake akainuka ili afukie kinyesi. Hali ilikuwa hivi, "Uuuuwi! Kweli hii mutu ya Darisalama kiboko, inakwiba hadi kinyesi!! Kasheshe...

No comments:
Post a Comment