Friday, November 23, 2012

CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja alimdanganya mkewe anasafiri ili akalale kwa kimada wake. Mke akakubali na jamaa akachukua simu na kumtumia meseji kimada akiandika hivi, "Oyaa nakuja kwako kulala, huyu bwege nimemdanganya nasafiri siku tatu." Katika kutuma meseji jamaa akakosea ndamba na kumtumia mkewe. Mke wake naye bila kutazama vizuri namba kuwa ni ya mumewe akajibu fasta, "Fanya haraka uje tule raha. Halafu jana jamaa bado kidogo ashtukie hii mimba sio yake!" Balaa...

No comments: