Mapenzi ya siku hizi bwana!! Jamaa mmoja alikuwa akiongea na mchumba wake na mazungumzo yakawa hivi. JAMAA: Mpenzi otea nimekununulia zawadi gani ya bethdei yako? BINTI: Ooh jamani Sweetie umeninunulia nini? JAMAA: Unakumbuka ile Pajero uliyoionaga ukaipenda sana rangi yake? BINTI: Uwiiiii jamani sitaki kuamini macho yangu. Umeninunulia ile? I love u so much!! JAMAA: Hapana, nimekununulia mswaki wa rangi ile! BINTI: Lione kwanza, ondoka sikutaki…

No comments:
Post a Comment