Kijana mmoja kutoka familia tajiri alimtumia meseji mama yake kutoka Ulaya, "Mama, nimeathirika na Ukimwi!" Mama yake bila kukawia akajibu, "Mwanangu usirudi kabisa huku nyumbani, maana... Akaendelea, "Ukirudi utamwambukiza MKEO, yeye atamwambukiza KAKA YAKO, naye atambukiza HAUSIGELI, huyo atamwambukiza BABA YAKO, kisha na mimi nitaupata!" Duh, kasheshe...

No comments:
Post a Comment