Mwalimu katika shule moja kawauliza wanafunzi wake darasani, "Hivi chura kachuchumaa, kalala, kainama au kakaa kitako?" Baada ya wanafunzi wote kukosa walipojibu, ndipo mwanafunzi mmoja akasimama na kujibu, "KACHUCHUMAA kama anataka KUKAA KITAKO akijaribu KUINAMA wakati wa KULALA!" Duh, kasheshe...
No comments:
Post a Comment