Mwalimu mmoja wa kike kasimama mbele ya darasa akiendelea kufundisha somo la Hisabati ndipo ghafla upepo ukavuma na kufunua gauni alilovaa. Kwa aibu mwalimu ikabidi akatishe kipindi na kutoka darasani. Baada ya dakika kadhaa mwalimu akarejea darasani na kuuliza, "Enhe, wanafunzi tuliishia wapi? Darasa zima likajibu, "Lilipofunuka gauni lako!" Kasheshe...
No comments:
Post a Comment