Mtoto mmoja kaenda dukani na kuanza kumsomea orodha yake muuzaji.
Kilo 10 za sukari kwa Shilingi 2,000 kila moja
Pakiti 4 za majani ya chai kwa Shilingi 250 kila moja
Kopo moja la siagi kwa Shilingi 1,000
Miche miwili ya sabuni kwa Shilingi 800 kila mmoja
Kisha akauliza, "Itagharibu kiasi gani kwa jumla?"
Muuzaji akajibu kwa furaha, "Itakuwa Shilingi 23,600 tu!"
Mtoto akasema huku akiondoka pale dukani, "Sio kwamba natak kununua hivyo vitu. Hilo ni swali tunalotakiwa kujibu kwenye somo la hesabu kesho. Nilikuwa nataka msaada wako tu!" Balaa...

No comments:
Post a Comment