zironews
Friday, October 19, 2012
CHEKA TARATIBU...
Kazi nyingine bwana noma! Kondakta va daladala amelala na mdogo wake kitandani. Usiku wa manane mdogo wake akaamka kwenda kujisaidia. Aliporudi ile kutaka tu kufunua chandarua Kondakta akasema kwa ukali, "Oyaa, wanafunzi wametosha humu!" Duh…
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment