Mchungaji akiwa madhabahuni akawaambia waumini wake, "Mwambie jirani yako Mungu ni mwema!" Kila mmoja akamgeukia mwenzake pembeni kufanya hivyo. Kisha Mchungaji akaendelea kusema siku hiyo atawaombea wale wote wenye matatizo ya kupata watoto. Akawaambia waumini wake, "Mwambie jirani yako usiku wa leo utapata mimba!" Kikasikika kishindo kikubwa, "Paaaa!" Kumbe mtoto mmoja alitandikwa kibao baada ya kumgeukia baba yake na kumwambia "Usiku wa leo utapata mimba!" Kasheshe...
No comments:
Post a Comment