MWANAMKE AJISAIDIA NA KUOGA KWENYE TRENI MBELE YA ABIRIA WENZAKE...

Hivi ndivyo mwanamke huyu alivyonaswa kwenye picha zilizosambazwa katika mitandao ya intaneti Alhamisi iliyopita akijisaidia na kisha kuoga wakati akiwa safarini tena mbele ya abiria wenzake kwenye treni chini kwa chini ya New York. Haikuweza kufahamika mara moja ni lini hasa kituko hiki kilitokea.

No comments: