KWA RAHA ZAKE LADY GAGA AVUTA BANGI JUKWAANI MBELE YA MASHABIKI...

Mwimbaji mwenye vituko vingi, Stefani Germanotta ama maarufu duniani kama Lady Gaga akiwasha na kuvuta msokoto mkubwa wa bangi jukwaani ikiwa ni mita chache kutoka waliposimama mashabiki wake shoo yake iliyofanyika usiku wa Jumatatu iliyopita mjini Amsterdam, Uholanzi. Lady Gaga yuko katika ziara barani Ulaya kuitangaza albamu yake ya Born This Way Ball. Mwaka 2011, mwimbaji huyo aliwahi kufanya ziara ya miezi mitano tu na kufanikiwa kukusanya kiasi cha Pauni za Uingereza milioni 31.

No comments: