Sunday, August 19, 2012

TUNAWATAKIA WAISLAMU WOTE IDD EL-FITRI NJEMA...

Mhariri na Menejimenti ya ziro99blog anaungana na wadau wake, Watanzania na Waislamu wote duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Iddi El-Fitri. Tunawakumbusha Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla kuhimizana kushiriki katika zoezi la Sensa Agosti 26, mwaka huu kwa maendeleo ya Taifa letu.

No comments: