Ikiwa ni sehemu ya kipande cha Kipindi kijacho cha Oprah Winfrey Show, Oprah alimuuliza Rihanna mahusiano yake na Chris yakoje kwa sasa, takribani miaka mitatu tangu shambulio la kinyama dhidi yake.
Rihanna alielezea, "Tulikuwa marafiki wa karibu sana, tena sana. Tumerejesha imani kati yetu na hivyo ndivyo ilivyo. Tunapendana na hivyo ndivyo itakavyokuwa siku zote."
Rihanna anasema kwa sasa ni marafiki tu na hatarajii kurudiana ...ingawa anakiri, "Nafikiri alikuwa mpenzi wa maisha yangu."
No comments:
Post a Comment