Nyota wa "Real World", Joey Kovar amefariki baada ya kunywa kile kinadhaniwa kuwa mchanganyiko wa Viagra, cocaine na pombe, hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari.
Vyanzo hivyo vya habari vimesema, Alhamisi usiku kabla ya usiku wa manane, Joey alikwenda nyumbani kwa mwanamke mmoja huko Chicago Ridge, mjini Illinois, na kumweleza ametumia cocaine ...na kumtaka ampeleke hadi sehemu ambako anaweza kupata cocaine zaidi. Mwanamke huyo, Stacey Achterhof alikataa ombi lake hilo na kumtaka kubaki nyumbani hapo.
Imeelezwa kwamba Joey, ambaye alikuwa tayari amelewa pombe, kunywa "viagra" na kufanya fujo na Stacey alilala fofofo, na alipoamuasha mapema Ijumaa asubuhi alikuta Joey akitokwa damu puani na masikioni.
Vyanzo vya habari vimeeleza ...macho yake yalikuwa "meusi", kitu ambacho hutokea mara kwa mara kwa mtu anapojizidishia dozi. Vyanzo hivyo pia viliendelea kuhisi kwamba pengine Joey alikuwa na matatizo ya kuvimba tezi.
Stacey alihojiwa kwa kina na polisi Ijumaa. Imeelezwa kuwa alisema alimwona Joey akinywa Adderall na Zanax katika siku za hivi karibuni... na vyanzo kadhaa vilivyo karibu na vimeeleza japo dawa hizo aliandikiwa na daktari, mara kwa mara amekuwa akinywa zaidi ya kiasi alichoshauriwa na daktari.
Hakuna dalili zozote mpaka sasa kama Stacey atashitakiwa kwa kosa hilo.
Kama ilivyo kwa Joey, majibu ya vipimo vya matumizi ya dawa za kulevya vitapatikana baada ya wiki kadhaa, lakini vyanzo vya habari vimesema wanaamini majibu hayo yataonesha jinsi Viagra, Cocaine na Pombe vilivyosababisha mauti yake.

No comments:
Post a Comment