Mhandisi mmoja wa kitengo kamaliza kuelezea jinsi mashine moja mpya inavyoweza kurahisisha kazi katika kambi moja ya jeshi. Sajenti mmoja akasimama na kuripoti kwa kujiamini, "Mheshimiwa, nimegundua kitu kinachofanya kazi ya watu hamsini." Mhandisi kwa shauku kubwa akahoji, "Ni kitu gani hicho?" Sajenti akajibu, "Askari mia mbili!" Kasheshe...

No comments:
Post a Comment