HII SIO FILAMU, NI KWELI! Hivi ndivyo polisi wa Afrika Kusini walivyowamiminia risasi waandamanaji kwenye mgodi wa Lonmin na kuua wachimbaji madini 34 na kujeruhi wengine 78 Alhamisi iliyopita, kwenye maandamano yaliyopoteza maisha ya watu wengi zaidi nchini humo tangu zama za ubaguzi wa rangi.
No comments:
Post a Comment