Thursday, August 23, 2012

CHEKA TARATIBU...

Mchungaji Mchagga anamtoa mapepo muumini wake mmoja katika kanisa moja mjini Moshi. Mambo yalikuwa kama ifuatavyo:
Mchungaji" "Nasema wewe pepo mwachie mtu huyu!
Pepo: "Sitoki".
Mchungaji: "Nasema ushindwe na ulegee, kisha ondoka ndani ya mtu huyu!"
Pepo: "Nimesema siondoki, nimekaa humu ili huyu jamaa ashinde mamilioni ya bahati nasibu!"
Mchungaji kwa sauti ya upole: "Nasema toka kwa mtu huyu na uingie kwangu haraka sana!" Duh…

No comments: