Daktari, Mhandisi na Mwanasheria walikuwa wakijadili taaluma ipi ni ya siku nyingi zaidi ya nyingine kati ya hizo. Daktari akasema, "Kumbuka, katika siku ya sita Mungu akatoa ubavu wa Adam na kumuumba Eva, na hivyo kufanya oparesheni ya kwanza kabisa. Hivyo utabibu ni taaluma ya siku nyingi zaidi."
Mhandisi akajibu, "Lakini, kabla ya hiyo, Mungu akaumba mbingu na dunia kutoka vurugu na ghasia. Hivyo, uhandisi ni taaluma ya siku nyingi kuliko utabibu."
Kisha, Mwanasheria akasema, "Ndio. Lakini unafikiri ni nani aliyeleta hizo ghasia zote na vurumai?" Balaa...

No comments:
Post a Comment