Wanandoa wawili vijana baada ya mabishano wakiwa safarini kwenye gari lao wakajikuta wakinuniana. Baada ya mwendo mrefu bila kuongea, wakaona kundi la ng'ombe wakikatisha barabara. Mume akamwambia mkewe, "Wale wanaovuka barabara ni ndugu zako?" Mke akajibu, "Ni kweli kabisa, nimeolewa katika familia ile!" Kasheshe…

No comments:
Post a Comment