Jamaa mmoja katika pitapita yake mitaa ya Kariakoo akakutana na kichaa mmoja. Jamaa kwa mshangao akauliza, "We si ulitakiwa kuwa hospitali ya vichaa kule Milembe?" Yule kichaa akacheka na kujibu, "Ni kweli Bro!" Jamaa akaendelea, "Sasa mbona uko huku?" Kichaa akajibu, "Mie niko Day sio Boarding!" Balaa...

No comments:
Post a Comment