Monday, July 23, 2012

UJUMBE WA NHC ULIPOMTEMBELEA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CHINA...


Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo akiagana na maofisa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Nehemiah Mchechu (wa pili kulia), wakati walipofika kwenye Ubalozi huo mjini Beijing mwishoni mwa wiki. Walikuwapo kwa ajili ya mkutano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Operesheni na Utawala wa NHC, Raymond Mndolwa. 

No comments: