Sunday, June 24, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Safari ni Safari! Lakini kwa mzazi huyu mwenzetu imezidi. Hebu angalia alivyowabeba watoto wake kwenye bodaboda... Hapana, kwa kweli hii si sawa hata kidogo!

No comments: