Sunday, June 24, 2012

HISPANIA YAIVURUGA UFARANSA NA KUTINGA NUSU FAINALI EURO 2012...


Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Ulaya 'Euro 2012', Hispania usiku wa kuamkia leo wameifunga Ufaransa mabao 2-0 yaliyowekwa kimiani na kiungo wake Xabi Alonso na kujihakikishia nafasi ya kucheza nusu fainali ya michuano hiyo mwaka huu. Ilikuwa ni mechi ambayo wanasoka wakali wa Ulaya kila mmoja akijitahidi kuonesha uwezo wake. Tazama video hii ya bao la kwanza na baadhi ya matukio muhimu.

No comments: