Sunday, June 3, 2012

CHEKA TARATIBU...

Washamba wanne wamepanda basi la ghorofa katika ziara yao Uingereza, wawili sehemu ya juu na wengine chini. Wakati basi likitembea wale waliokuwa chini wakawauliza wenzao wa juu, "Vipi huko juu spidi ngapi, maana huku chini tuko spidi 100. Wenzao wa juu wakajibu, "Huku hatujui maana hakuna dereva!"

No comments: