Thursday, May 17, 2012

WATOTO WALIOKUFA BAADA YA NYUMBA YAO KUCHOMWA MOTO...

Jana tuliwaletea mkasa ulioikumba familia ya Bwana Mick na Bibi Mairead Philpott yenye watoto 17 ambapo watano kati yao waliteketea kwa moto ambao polisi wamesema haikuwa ajali bali uliwashwa kwa makusudi. Pichani wanaonekana baadhi ya watoto ambapo watano miongoni mwao sasa ni marehemu wakiwa na wazazi wao. Baba wa familia hiyo, Mick Philpott amepachikwa jina la "Baba asiye na haya" baada ya kuwasilisha maombi ya kupewa nyumba nyumba kubwa zaidi aweze kuishi na familia hiyo pamoja na wake zake wengine wanne.

No comments: