Hizi ni picha za kutisha za video zikikumbushia tukio la ajali mbaya ya moja ya magari ya michezo duniani.
Watu watatu walifariki wakati Ferrari 599 GTO ilipojibamiza ubavuni mwa teksi kwenye makutano ya barabara nchini Singapore.
Dereva wa Ferrari alikufa papo hapo wakti dereva teksi an abiria wake alikufa muda mfupi baadaye.
Abiria kwenye gari lenye rangi nyekundu yeye alinusurika na kukimbizwa hospitali, kama ilivyokuwa kwa mwendesha pikipiki ambaye pia alihusika kwenye ajali hiyo.
Polisi hawakutoa taarifa yoyote kukadiri mwendokasi wa Ferrari hiyo, lakini ilikuwa kwenye spidi kubwa sana kama ilivyonaswa kwenye video.
Polisi wanachunguza ajali hiyo lakini mashuhuda wamedai mfanyabiashara mwenye miaka 31, Ma Chi alipita kwenye taa nyekundu kabla ya kujibamiza kwenye teksi ya bluu.
Ajali hiyo imenaswa kwenye kamera ya kwenye gari nyingine katika makutano ya barabara za Rochor na Victoria.
Abiria mwanamke mwenye miaka 20 alifia kwenye teksi hiyo pamoja na dereva wake mwenye miaka 52, Cheng Teck ambaye ni baba wa watoto watatu.
Alipata majeraha mbalimbali kwenye ubongo na kufariki akiwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi cha Hospitali ya Tan Tock Seng, mapema mwezi huu.

No comments:
Post a Comment