Wednesday, May 2, 2012

WABONGO SASA TUMEFIKIA HAPA...

Tangazo linalokataza wenye mazoea ya kujisaidia popote kama lilivyonaswa leo asubuhi maeneo ya TAZARA kwenye makutano ya Barabara za Mandela na Nyerere. (Picha na ziro99blog).

No comments: