Hawa walikutwa leo asubuhi katika Barabara ya Kawawa maeneo ya Magomeni mbele ya Kanisa Katoliki wakikokota baiskeli yao kupeleka mzigo maeneo ya Kinondoni.
Kijana akikokota baiskeli yake iliyosheheni mzigo wa mayai akitokea maeneo ya Kitunda kuelekea katikati ya jiji kama alivyokutwa leo asubuhi maeneo ya Buguruni Relini, Dar es Salaam. (Picha zote na ziro99blog).

No comments:
Post a Comment